Lyrics Willy Paul – Umeme

Mtoto we ni thitima yaani umeme meme,
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme

Kila napo kam kam baby we ni tam tam,
Moyo wangu umefanya zam zam kama gari nanguruma vrum vrum na kwa mapenzi girl umenifanya bubu

Ooh baby nononono... I really love you and you already know
Uuh my love i was born to be with you uuh...

Mtoto we ni thitima yaani umeme meme,
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme papararapapa

Ngozi yako iko soft soft, mtoto we ni soap soap.
Matatu yangu iko pararapirera iko ready kuku beba.
In this life, the little things that you do keep me going..
In this life your prayers mama keep me going..
Because of you, i\'m nolonger bwana
Mkunaji sami ni bwana mpendaji mama swear staki ata nandy,
Kanifunza ukunaji mama. Mmmh mmmh.

Mtoto we ni thitima yaani umeme meme,
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme papararapapa

Kila corner umeteka thitima nishazama kwa mapenzi ooh thitima,
Kila corner umenibeba, nishazama kwa mapenzi ooh thitima

Ooooooooh !!

Mtoto we ni thitima yaani umeme meme,
Nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme papararapapa

Lyrics rating:
92%