Lyrics Jay Melody – Nitasema

(Intro)
Hmmm hmm
Oh na na na

Si unitoke hata mara moja
Akilini mwangu
Ohh mara moja
Ni nayo pitia ni kama umeniroga
Haya mapenzi yamenipa gonjwa

Japo sijawahi kuambia jinsi ninavyo kuota
Nakuzimia moyo umeuokata
Hii dunia nimempenda mmoja
Hizi hisia nitakwambi how i feel

Para ra ra raaah
How i feel
Para ra ra raah
Nitasema

Para ra ra raaah
How i feel
Para ra ra raah
Nitasema 

Ooh, na vitu vyako vinachanganya
Oo, unigusapo kwisha mwenzio
Ooh, you are magnet-oh unanivuta hapo
Utanitoa roho jamani
Unanikosha unaniwasha unali paah moyo wangu
Unanikosha unaniwasha unali paah moyo wangu 

Japo sijawahi kuambia jinsi ninavyo kuota
Nakuzimia moyo umeuokata
Hii dunia nimempenda mmoja
Hizi hisia nitakwambi how i feel

Para ra ra raaah
How i feel
Para ra ra raah
Nitasema

Para ra ra raaah
How i feel
Para ra ra raah
Nitasema 

Unanikosha unaniwasha unali paah moyo wangu
Unanikosha unaniwasha unali paah moyo wangu

Lyrics rating:
92%